Mukhtar – Shuja Aliyelipiza Kisasi dhidi ya wauaji wa Imam Husain (AS) hapo Karbala (61-67AH) – Kiswahili Language

£1.00

50 in stock

SKU: 2541 Categories: , , , , Brand:

Description

Mukhtar al Thaaqafi aliyelipa kisasi kwa kupigana na kuwaua wale vinara wote walioshiriki katika mauaji ya mjukuu wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) Imam Husain pale Karbala. Kutokana na kazi yake maalum ya kulipiza kisasi hicho zilizuka habari nyingiza kupotosha kuhusu maisha yake kwa wakati ule, kwa mfano, watu walidai alitoka katika familia duni isiyostahiki kuheshimika n.k., bali yeye alitoka katika kabila tukufu la Banu Hawazin, ambapo pia walitoka watu watukufu kama utakavyoona ndani ya kitabu hiki

Additional information

Weight 0.165 kg
Dimensions 15 × 21 cm
Cover Type

Paperback

ISBN

978 9987 17 059 3

Author

Dkt M H Datoo

Publisher

Al-Itrah Foundation

Year Published

2014

Pages

106

Translated By

Umm Zahra Gulbanu Musa

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mukhtar – Shuja Aliyelipiza Kisasi dhidi ya wauaji wa Imam Husain (AS) hapo Karbala (61-67AH) – Kiswahili Language”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare