Mukhtar – Shuja Aliyelipiza Kisasi dhidi ya wauaji wa Imam Husain (AS) hapo Karbala (61-67AH) – Kiswahili Language
£1.00
50 in stock
Description
Mukhtar al Thaaqafi aliyelipa kisasi kwa kupigana na kuwaua wale vinara wote walioshiriki katika mauaji ya mjukuu wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) Imam Husain pale Karbala. Kutokana na kazi yake maalum ya kulipiza kisasi hicho zilizuka habari nyingiza kupotosha kuhusu maisha yake kwa wakati ule, kwa mfano, watu walidai alitoka katika familia duni isiyostahiki kuheshimika n.k., bali yeye alitoka katika kabila tukufu la Banu Hawazin, ambapo pia walitoka watu watukufu kama utakavyoona ndani ya kitabu hiki
Additional information
| Weight | 0.165 kg |
|---|---|
| Dimensions | 15 × 21 cm |
| Cover Type | Paperback |
| ISBN | 978 9987 17 059 3 |
| Author | Dkt M H Datoo |
| Publisher | Al-Itrah Foundation |
| Year Published | 2014 |
| Pages | 106 |
| Translated By | Umm Zahra Gulbanu Musa |



Reviews
There are no reviews yet.